Kamishna wa Maadili Mh Jaji Harold Nsekela akitoa nasaha kwa Majaji Wapya wa Mahakama Kuu na Viongozi wengine wa Serikali mbele ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli Ikulu Jijini Dar es salaam.

Viongozi waandamizi wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kutoka kulia ni Bwana Waziri Kipacha na Bw John Kaole pamoja na Viongozi wengine wa Serikali wakishuhudia tukio la kuapishwa kwa Majaji wa Mhakama Kuu na Viongozi wengine wa Serikali Ikulu Jijini Dar es salaam.

Kamishna wa Maadili Mh Jaji Harold Nsekela akiongoza Kiapo cha Uadilifu kwa Waheshimiwa Majaji wa Mahakama Kuu na Viongozi wengine wa Serikali Mbele ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dr John Pombe Magufuli Ikulu Jijini Dar es salaam.

Waheshimiwa Majaji wapya wa Mahakama Kuu pamoaja na Viongozi wengine wa Serikali wakisikiliza Hotuba ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli Ikulu Jijini Dar es salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Kamishna wa Maadili, Jaji (Mst) Harold R. Nsekela mara baada ya kuwasilisha fomu zake za Tamko la Rasilimali na Madeni kwa Viongozi wa Umma katika ofisi za Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma jijini Dar es Salaam tarehe 28 Desemba, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwasilisha fomu za Tamko la Rasilimali na Madeni kwa Kamishna wa Maadili, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Jaji (Mst) Harold R. Nsekela katika ofisi za Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma jijini Dar es Salaam tarehe 28 Desemba, 2017.

Karibu


The Ethics Secretariat is an Independent Department of the Government under the President’s Office which is established under Article 132 of the 1977 Constitution of the United Republic of Tanzania. Its main function is to implement the Public Leadership Code of Ethics Act, No. 13 of 1995 (Chapter 398), specifically to monitor the ethical behavior and conduct of Public Leaders.

This website is a gateway to the useful information on promotio... Soma zaidi

 • news title here
  23
  Apr
  2018

  Kamishna wa Maadili awapa Kiapo cha Uadilifu Viongozi wakiwemo Majaji wapya wa Mahakama Ku...

  Kamishna wa Maadili awapa Kiapo cha Uadilifu Viongozi wakiwemo Majaji wapya wa Mahakama Kuu... Soma zaidi

 • news title here
  13
  Feb
  2018

  Mkuchika awataka Watumishi wa Sekretarieti ya Maadili Kuzingatia Sheria, Kanuni na Tar...

  Mkuchika awataka Watumishi wa Sekretarieti ya Maadili Kuzingatia Sheria, Kanuni na Taratibu... Soma zaidi

 • news title here
  29
  Jan
  2018

  Kamishna Nsekela: Zingatieni mgongano wa Maslahi mnapojadili rasimu ya kanuni

  Kamishna Nsekela: Zingatieni mgongano wa Maslahi mnapojadili rasimu ya kanuni.. Soma zaidi

Habari Zaidi
  • 27
   Jul
   2017

   Integrity Day

   Mahali: At Mnazi Mmoja Stadium

   Soma zaidi
  • 29
   Jul
   2017

   maadili sport day

   Mahali: Gymkhana Ground

   Soma zaidi
  • 25
   Jul
   2017

   Workshop for Editors from the Mass Media

   Mahali: Serena Hotel

   Soma zaidi
  • 24
   Jul
   2017

   Mafuriko Day

   Mahali: Sukari House

   Soma zaidi
  Matukio Zaidi