Habari


 • Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Inaendelea na zoezi la kuhakiki mali za Viongozi wote wa Umma.
  18
  Jun
  2019

  Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Inaendelea na zoezi la kuhakiki mali za Viongozi wote wa Umma.

  Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Inaendelea na zoezi la kuhakiki mali za Viongozi wote wa Umma.... Soma zaidi

 • Kamishna wa Maadili awataka Maafisa Bajeti kukumbuka na kuzingatia majukumu ya Taasisi.
  14
  May
  2019

  Kamishna wa Maadili awataka Maafisa Bajeti kukumbuka na kuzingatia majukumu ya Taasisi.

  Kamishna wa Maadili Mhe. Jaji (Mst.) Harold Nsekela amewataka Maafisa Bajeti wa Sekretarieti ya Maadili kukumbuka na kuzingatia majukumu ya Taasisi iliyopewa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 Ibara ya 132.... Soma zaidi

 • Maafisa Bajeti wa Sekretarieti ya Maadili wapatiwa Mafunzo kuhusu Ufuatiliaji na Tathmini pamoja na Uandishi wa Taarifa.
  07
  May
  2019

  Maafisa Bajeti wa Sekretarieti ya Maadili wapatiwa Mafunzo kuhusu Ufuatiliaji na Tathmini pamoja na Uandishi wa Taarifa.

  Katika kuboresha utendaji kazi wa majukumu yao, Uongozi wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma umewaandalia mafunzo ya Siku tano Maafisa Bajeti wake kutoka Idara, Vitengo na Ofisi za Kanda yanayofanyika Mkoani Morogoro kuanzia tarehe 6 – 10 Mei, 2019.... Soma zaidi

 • Dkt. Nchimbi: Maadili ni Nguzo pekee kwa Ustawi wa Jamii yeyote ile.
  25
  Apr
  2019

  Dkt. Nchimbi: Maadili ni Nguzo pekee kwa Ustawi wa Jamii yeyote ile.

  Dkt. Nchimbi: Maadili ni Nguzo pekee kwa Ustawi wa Jamii yeyote ile. ... Soma zaidi