Mhe. Majaliwa: Maadili ni Nguzo Muhimu katika Kuleta Maendeleo ya Taifa.

Mhe. Majaliwa: Maadili ni Nguzo Muhimu katika Kuleta Maendeleo ya Taifa.
11
Dec
2018

Duniani kote maadili ni nguzo muhimu katika kuleta maendeleo ya Taifa.

Hayo yamesemwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) wakati akihutubia hadhara katika kilele cha Maadhimsho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu jijini Dodoma Desemba 10, 2018.